• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 30, 2012

  AKINA MGOSI MAJI YA SHINGO, WAOMBA KUAHIRISHIWA MECHI DRC

  Wachezaji wa DCMP na TPB katika mechi iliyopita
  MECHI ya Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) iliyopangwa kuchezwa Jumapili hii imesogezwa mbele, baada ya Kikao cha juzi jioni cha Kamati ya Ligi ya nchi hiyo, iitwayo (Linafoot).
  Sambamba na mechi hiyo, Linafoot imesogeza mbele pia mechi nyingine kati ya DCMP dhidi ya FC Lupopo.

  DCMP iliomba mechi zake zidogezwe mbele kwa sababu wachezaji wake wsaba wapo timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20
  DCMP inaongozwa na mshambuliaji Mtanzania, Mussa Hassan Mgosi.


  Kuahirishwa kwa mechi hiyo kunaweza kuwa habari njema kwa mshambuliaji mwenzake wa zamani Msosi  Simba SC, Mbwana Ally Samatta ambaye kwa sasa ni majeruhi.
  Mazembe wanaye pia mchezaji mwingine wa zamani wa Simba, kiungo Mganda, Patrick Ochan ambaye alikuwa na Mgosi Msimbazi SC mwaka jana kabla ya wote kuhamia DRC.
  Kikosi cha Mazembe kina Mtanzania mwingine, Thomas Ulimwengu anayechezea TPM, ingawa bado si mchezaji wa kudumu kikosi cha kwanza.

  MSIMAMO WA LIGI KUU DRC
  CL
  Equipes
  MJ
  MG
  MP
  MN
  BP
  BC
  GD
  PTS
  1
  DCMP
  4
  3
  0
  1
  6
  1
  +5
  10
  2
  TP MAZEMBE
  3
  3
  0
  0
  8
  0
  +8
  9
  3
  DC VIRUNGA
  4
  3
  1
  0
  4
  2
  +2
  9
  4
  FC LUPOPO
  3
  2
  0
  1
  4
  0
  +4
  7
  5
  AS V.CLUB
  2
  2
  0
  0
  6
  2
  +4
  6
  6
  AS VUTUKA
  3
  2
  1
  0
  4
  1
  +3
  6
  7
  OC MUUNGANO
  4
  2
  2
  0
  5
  4
  +1
  6
  8
  SANGA BALENDE
  4
  1
  2
  1
  5
  5
  0
  4
  9
  US TSHINKUNKU
  3
  1
  1
  1
  3
  6
  -3
  4
  10
  AS SAINT LUC
  4
  0
  1
  3
  4
  6
  -2
  3
  11
  TP MOLUNGE
  4
  1
  3
  0
  3
  8
  -5
  3
  12
  CS MAKISSO
  3
  0
  2
  1
  0
  3
  -3
  1
  13
  TC ELIMA
  3
  0
  3
  0
  0
  6
  -6
  0
  14
  FC NKOY
  4
  0
  4
  0
  1
  9
  -8
  0
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AKINA MGOSI MAJI YA SHINGO, WAOMBA KUAHIRISHIWA MECHI DRC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top