• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 27, 2012

  MSWEDEN AMNOA BONDIA MASHARI

  Kocha Ntuve na Mashari.

  Mashari akifanya mazoezi ya nguvu.
  Kocha Ntuve kulia na Mashari.
  Kocha wa ngumi kutoka Sweden, Juma Ntuve kushoto akimwelekeza bondia Thomas Mashari wakati wa mazoezi ya kujiandaa kupambana na bondia Suleiman Galile, Aprili 9, mwaka huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSWEDEN AMNOA BONDIA MASHARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top