• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 29, 2012

  SATO AWA BINGWA MPYA WBC

  Bondia Mjapan, Yota Sato, kulia, akimtandika konde la kulia bingwa mtetezi wa taji kutoka Thailand, Suriyan Sor Rungvisai katika raundi ya nne ya pambano la raundi 12 kuwania taji la WBC, uzito wa Super Fly kwenye ukumbi wa Korakuen Hall mjini Tokyo juzi. Sato alishinda.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SATO AWA BINGWA MPYA WBC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top