• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 27, 2012

  AS ROMA KUFANYA USAJILI KUFURU

  Sabatini
  MKURUGENZI wa AS Roma, Walter Sabatini ameweka hadharani mikakati yake ya msimu ujao wa 2012-2013.
  The Giallorossi wamepanga kuboresha kikosi chao kwa kusajili wachezaji babu kubwa duniani hivi sasa wakiwa nafasi ya sita kwenye msimamo wa Serie A, wakizidiwa pointi saba na timu zilizo kwenye nafasi ya kuchza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
  "Tupo karibu mno kufanya usajili wa kutisha," alisema Sabatini, ingawa alikataa kufafanua zaidi kuhusu wachezaji wanotaka kuwachukua..
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AS ROMA KUFANYA USAJILI KUFURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top