| Kipa wa Lecce, Massimiliano Benassi akiwa amevaa mask katika mechi ya Serie A dhidi ya AC Milan leo kwenye Uwanja wa San Siro, Italia. Wako wapi makipa wenye vituko na mbwembwe katika soka la bongo kama enzi zile za akina Kichochi Lemba, Madata Lubigisa, Juma Pondamali, Juma Mhina, Hamisi Kinye, Athumani Mambosasa, Iddi Pazi 'Father', Mohamed Mwameja, Manyika Peter, Issa Manofu na wengine kibao. Makipa wa siku hizi milingoti tu. Hawatii mizuka kabisa. Labda huyo Kaseja kwa jinsi anavyojua kucheza na mashabiki, ila hana mbwembwe za kusisimua kama angalau za Ismail Suma enzi zake. |
0 comments:
Post a Comment