• HABARI MPYA

  Monday, January 07, 2019

  BARCELONA YAREJEA KAZINI NA KUICHAPA GETAFE 2-1

  Lionel Messi na Luis Suarez wakipongezana baada ya wote kuifungia Barcelona katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Getafe usiku wa jana Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez na kuendelea kuongoza La Liga kwa pointi tano zaidi ya Atlético Madrid. Messi alifunga dakika ya 20 na Suarez dakika ya 39, kabla ya Jaime Mata kuifungia Getafe dakika ya 43 na kwa ushindi huo Barcelona inafikisha pointi 40 baada ya kucheza mechi 18, ikiongoza La Liga mbele ya Atletico Madrid yenye pointi 35 za mechi 18 pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAREJEA KAZINI NA KUICHAPA GETAFE 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top