• HABARI MPYA

  Tuesday, April 02, 2024

  CRDB WADHAMINI KOMBE LA TFF KWA BILIONI 3 MIAKA MITATU NA NUSU


  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) wakisaini mkataba wa udhamini wa Kombe la TFF leo wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 3 kwa miaka mitatu na nusu. 
  Mkataba huo umesainiwa asubuhi ya leo makao makuu ya benki hiyo Jijini Dar es Salaam na kuanzia sasa michuano hiyo iliyokuwa ikijulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) itakuwa ikitambulika kama CRDB Bank Federation Cup.
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CRDB WADHAMINI KOMBE LA TFF KWA BILIONI 3 MIAKA MITATU NA NUSU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top