PAMBA JIJI NA KAGERA SUGAR ZAGAWANA MABAO NA POINTI KIRUMBA
WENYEJI, Pamba Jiji wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na jirani zao, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijiji Mwanza. Kiungo Mganda, Peter Lwasa alianza kuifungia Kagera Sugar dakika ya 44, kabla ya mshambuliaji mzawa, George Mpole kuisawazishia Pamba Jiji dakika ya 76. Kwa matokeo hayo, kila timu inafikisha pointi tano katika mchezo wa nane na kuendelea kufuatana nafasi ya 14 Kagera Sugar na 15 Pamba zikizidiana wastani wa mabao. Ken Gold iliyocheza mechi saba ndio inashika mkia kwa pointi zake nne.
FAMACO I Programme spreads to FUFA’s 8 Regions
-
FUFA in association with the Regional Football Associations has confirmed a
full progamme to spread the capacity building courses for Football
Administra...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment