• HABARI MPYA

  Friday, September 03, 2021

  ENGLAND YASHINDA 4-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA


  TIMU ya taifa ya England imejiweka katika nafasi nzuri kwenye kuwania tiketi ya Kombe la Dunia mwakani baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Hungary katika mchezo wa Kundi I jana Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest.
  Mabao ya Three Lions jana yalifungwa na mshambuliaji wa Manchester City Raheem Sterling dakika ya 55, Harry Kane wa Tottenham Hotspur dakika ya 63, beki wa Manchester United Harry Maguire dakika ya 69 na  na kiungo wa West Ham United Declan Rice dakika ya 87.
  Kwa ushindi huo, England inafikisha ponti 12 na kuendeela kuongoza kundi mbele ya , Poland na Hungary zenye pointi saba kila moja, Albania pointi sita, Andorra tatu wakatiSan Marino haina pointi baada ya mechi nne.

  Europe - WC Qualification Europe

  FT
  Georgia0 - 1KosovoView events
  FT
  Sweden2 - 1SpainView events
  FT
  Italy1 - 1BulgariaView events
  FT
  Lithuania1 - 4Northern IrelandView events
  FT
  Czech Republic1 - 0BelarusView events
  FT
  Estonia2 - 5BelgiumView events
  FT
  Andorra2 - 0San MarinoView events
  FT
  Hungary0 - 4EnglandView events
  FT
  Poland4 - 1AlbaniaView events
  FT
  Iceland0 - 2RomaniaView events
  FT
  Liechtenstein0 - 2GermanyView events
  FT
  North Macedonia0 - 0Armenia
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND YASHINDA 4-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top