• HABARI MPYA

  Monday, September 06, 2021

  BIASHARA UNITED WATUA DAR KWENDA DJIBOUTI


  TIMU ya Biashara United ya Mara imewasili Jijini Dar es Salaam tayari kwa safari ya Djibouti kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza wa Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, FC Dikhil. 
  Mechi hiyo itachezwa Ijumaa Uwanja wa El Hadj Hassan Gouled Jijini Ville de Djibouti kabla ya timu hizo kurudiana Septemba 18 hapa nchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BIASHARA UNITED WATUA DAR KWENDA DJIBOUTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top