Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi bao la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 3-0 dhidi ua Ujerumani jana kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza michuano ya Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam jana. Mabao mengine ya Uholanzi yalifungwa na Memphis Depay dakika ya 86 na Georginio Wijnaldum dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sweet moment Sam Williamson celebrates Gold win with his partner after
stunning 100m breaststroke final - as Aussie team cleans up at Commonwealth
Games
-
Only a year ago, Williamson feared he may never walk again after rupturing
his patella tendon in training.
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment