Mshambuliaji Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Brazil bao la kwanza dakika ya 43 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Saudi Arabia mapema jana Uwanja wa Chuo Kikuu cha Mfalme wa Saud mjini Riyadh. Bao la pili lilifungwa na beki Alex Sandro dakika ya 90, wakati wenyeji walipata pigo baada ya kipa wao, Mohammed Al-Owais kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kunaswa na picha za marudio ya Video (VAR) akiushika mpira PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment