Eder (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la pili dakika ya 74 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Scotland kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Hampden Park mjini Glasgow, Scotland. Mabao mengine ya Ureno iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo, yalifungwa na Helder Costa dakika ya 43 na Bruma dakika ya 84 wakati la wenyeji lilifungwa na Steven Naismith dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
20 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment