Wachezaji wa Bayern Munich, Niklas Suele, Javi Martinez na Joshua Kimmich wakiondoka kinyonge Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Ajax katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana. Mats Hummels alianza kuwafungia wenyeji dakika ya nne kabla ya Noussair Mazraoui kuwasawazishia dakika ya 22 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Fifa offers $40m if nations back controversial plan
-
Fifa has set a deadline of 19 September for member associations to access
cash as FA voice disapproval of world governing body's funding plan ahead
of emer...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment