Mshambuliaji Luis Suarez (kushoto) akimuambia kitu mwenzake, Lionel Messi aliyeipa mgongo kamera wakati wa mazoezi ya Barcelona ikijiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Roma leo Uwanja wa Olimpico mjini Roma. Barca ilishinda 4-1 kwenye mechi ya kwanza wiki iliyopita Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup: Cristiano Ronaldo hurting Portugal – Forlan
-
The 2010 World Cup Golden Ball winner, Diego Forlan has suggested that
Cristiano Ronaldo's presence in Portugal could be hurting the team in the
ongoing ...
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment