Mshambuliaji Danny Welbeck akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Arsenal dakika ya 81 ikiilaza 3-2 Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Welbeck amefunga mabao mawili leo, la kwanza dakika ya 38 kufuatia Pierre-Emerick Aubameyang kuanza kuifungia Arsenal dakika ya 28, wakati mabao ya Southampton yamefungwa na Shane Long dakika ya 17 na Charlie Austin dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment