Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya timu yao na Wolaita Ditcha ya Ethiopia. Yanga ilishinda 2-0
Shabiki huyu wa Yanga akiwa amejichora majina ya wachezaji
Hawa wawili walitumia fursa yao kujipiga picha za ukumbusho jana
Hawa wao walikuwa wanashangilia muda mwingi wa mchezo
Katikati ni msanii mchekeshaji maarufu wa kwenye Televisheni, Ulimboka Mwalulesa 'Senga' akifurahia na mashabiki wenzake wa Yanga
Hawa ni magwiji wa Yanga, Sekilojio Chambua (kushoto) na Mohammed Hussein 'Mmachinga' kulia
Kulia ni mshambulia wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa ambaye alikosekana jana kwa sababu ya kadi za njano
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment