Roberto Firmino na Mohamed Salah wakishangilia baada ya kuifungia mabao mawili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Manchester City kwenye mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne. Salah alifunga la kwanza dakika ya 56 na Firmino la pili dakika ya 77, kufuatia Gabriel Jesus kuanza kuifungia Man City dakika ya pili Uwanja wa Etihad na sasa Liverpool inakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-1 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Anfield wiki iliyopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Senator Mustapha flags of distribution of N1.5bn agric inputs to farmers in
Kwara
-
Lawmaker representing Kwara Central Senatorial District, Saliu Mustapha,
has flagged off the distribution of agricultural inputs worth over N1.5
billion ...
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment