Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola akijadiliana na wasaidizi wake wakati wa mazoezi ya leo jioni kujiandaa na mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool Uwanja wa Etihad wakihitaji ushindi wa 4-0 kusonga mbele kufuatia kufungwa 3-0 kwenye mechi ya kwanza Uwanja wa Anfield wiki iliyopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Germany fans in need of hope as prospect of Klopp looms
-
As Germany again fail to progress at a World Cup BBC Sport looks at the
fallout from their defeat by Paraguay and what happens next.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment