Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akiburuza begi lake leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam wakati wa safari ya Cairo nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Al Masry Jumamosi
Mshambuliaji Mganda, Nicholaus Gyan akiwaongoza wenzake safarini leo
Nahodha John Bocco akielekea eneo kuingia JNIA baada ya kuteremka kwenye basi la simu
Premier League fixtures released for winter spell
-
United's programme for December and January has been updated.
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment