• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 26, 2018

  RONALDO ALIVYO TAYARI KUICHEZEA URENO DHIDI YA UHOLANZI LEO

  Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akijinyoosha kwenye mazoezi ya timu yake ya taifa jana kujiandaa na mchezo wa leo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Uholanzi Uwanja wa Geneva nchini Uswisi baada ya Ijumaa kufunga mabao mawili ndani ya dakika mbili za mwisho timu yake ikitoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 2-1 dhidi ya Misri PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO ALIVYO TAYARI KUICHEZEA URENO DHIDI YA UHOLANZI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top