• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 27, 2018

  NEYMAR SASA AFANYIWA ULTRASOUND ILI KUPONA HARAKA

  Huu ni mguu wa nyota wa Brazil, Neymar ambaye ni majeruhi kwa sasa ukifanyiwa ultrasound jana. Mchezaji huyo wa Paris Saint-Germain yuko nje kwa miezi mitatu tangu mwanzoni mwa mwezi huu baada ya kuumia enka PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NEYMAR SASA AFANYIWA ULTRASOUND ILI KUPONA HARAKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top