Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga mabao manne dakika za 11, 47, 64 na 90 na ushei katika ushindi wa 6-3 wa Real Madrid kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana dhidi ya Girona Uwanja wa Bernabeu na kufikisha hat trick 50 katika historia yake. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Lucas Vazquez dakika ya 59 na Gareth Bale dakika ya 86 wakati ya Girona yalifungwa na Christian Stuani dakika za 29 na 67 na Juanpe dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Japan fight back twice to earn 2-2 draw with Netherlands
-
Japan produced a spirited comeback to hold Netherlands to a thrilling 2-2
draw in their opening Group F match at the 2026 FIFA World Cup in Dallas.
The p...
10 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment