Beki Mbrazil, Dani Alves akishangilia baada ya kufunga bao lake la kwanza leo tangu ahamie Ligue 1 katika ushindi wa 2-1 wa Paris Saint-Germain dhidi ya wenyeji, NIce Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice. Alves alifunga dakika ya 82 hilo likiwa bao la pili baada ya Angel Di Maria kufunga la kwanza dakika ya 21 lililokuwa la kusawazisha baada ya Allan Sant-Maximin kuanza kuifungia NIce dakika ya 17 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment