• HABARI MPYA

  Friday, March 30, 2018

  POGBA AKIWAHI MAZOEZINI MAN U MECHI NA SWANSEA KESHO

  Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akiendesha gari lake kuelekea kwenye mazoezi ya klabu yake, Manchester United leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Swansea City kesho Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA AKIWAHI MAZOEZINI MAN U MECHI NA SWANSEA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top