Lionel Messi akishangilia na Ousmane Dembele baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-0 wa Barcelona dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Camp Nou. Messi alifunga mabao mawili dakika za tatu na 63 na alimsetia pia Dembele kufunga lingine dakika ya 20 na sasa Barca inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-1 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Newcastle's Hall keen on Man Utd switch - Friday's gossip
-
Manchester United keen on wantaway Newcastle left-back Lewis Hall, Spanish
giants close in on Bernardo Silva, Real Madrid target Manchester City's
Josko Gv...
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment