• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 29, 2018

  ANTHONY JOSHUA ALIVYO TAYARI KWA PAMBANO LAKE LA JUMAMOSI

  Bondia Anthony Joshua akitabasamu wakati anawatazama mashabiki 1,000 alipojitokeza hadharani jana ukumbi wa  St David's Hall mjini Cardiff, Uingereza kuelekea pambano lake la ngumi za kulipwa uzito wa juu dhidi ya Joseph Parker Jumamosi ukumbi wa Principality kuunganisha mataji ya IBF, WBA na WBO uzito wa juu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ANTHONY JOSHUA ALIVYO TAYARI KWA PAMBANO LAKE LA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top