• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 24, 2018

  RONALDO AFUNGA 'MABAO YA AJABU' URENO YAPINDUA MEZA KWA MISRI

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga mabao mawili ndani ya dakika mbili za mwisho kati ya nne za muda wa nyongeza baada ya kutimua dakika 90 za kawaida za mchezo, Ureno ikitoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 2-1 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Letzigrund mjini Zurich, Uswisi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA 'MABAO YA AJABU' URENO YAPINDUA MEZA KWA MISRI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top