• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 26, 2018

  RAMOS APATA MTOTO WA WATATU, WA KIUME AMUITA ALEJANDRO

  Beki wa kimataifa wa Hispania, Sergio Ramos akifurahia na mpenzi wake, Pilar Rubio baada ya kupata mtoto wao wa tatu Alejandro aliyezaliwa jana Saa 12:24 jioni akiwa na uziro wa kilogramu 3.1. Ramos alilazimika kuondoka kambi ya timu ya taifa kwenda kuungana na Rubio, mpenzi wake tangu Septemba mwaka 2012 na tayari wana watoto wengine wawili pamoja, Marco mwenye umri wa miaka miwili Sergio Jr mwenye umri wa miaka mitatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAMOS APATA MTOTO WA WATATU, WA KIUME AMUITA ALEJANDRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top