• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 25, 2018

  MZEE MAKAMBA ALIUTAMBUA MCHANGO WA YAMUNGU RELI MOROGORO ENZI HIZO KIBOKO YA VIGOGO

  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Luteni Mstaafu Yussuf Makamba akisalimiana na shabiki maarufu wa Reli ya Morogoro ‘Kiboko ya Vigogo’, Clarence Kisogo ‘Yamungu’ (sasa marehemu) kabla ya moja ya mechi za timu hiyo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro mwaka 1989
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MZEE MAKAMBA ALIUTAMBUA MCHANGO WA YAMUNGU RELI MOROGORO ENZI HIZO KIBOKO YA VIGOGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top