• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 26, 2018

  HARRY KANE AMEPONA? AKUTANA NA SOUTHGATE BILA MAGONGO

  Kocha wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate akizungumza na mshambuliaji Harry Kane, ambaye yuko nje ya kikosi kwa sababu ya maumivu ya mguu. Lakini jana wakati anazungumza na Southgate kwenye mazoezi ya Three Lions jana viwanja vya Enfield, ikijiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Italia kesho, Kane hakuwa na magongo ya kutembelea kuashiria amepata ahueni ya maumivu yake aliyoyapata mapema mwezi huu katika mchezo na Bournemouth na kutakiwa kuwa nje kwa wiki sita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HARRY KANE AMEPONA? AKUTANA NA SOUTHGATE BILA MAGONGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top