Raheem Sterling wa England akiwatoka wachezaji wa Italia katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Wembley mjini London timu hizo zikifungana 1-1. Jamie Vardy alianza kuifungia England dakika ya 26 akimalizia mpira wa adhabu wa Jesse Lingard kabla ya Lorenzo Insigne kuisawazishia The Azzuri dakika ya 87 kwa penalti kufuatia James Tarkowski kumchezea rafu Federico Chiesa, ingawa refa Deniz Aytekin alihitaji msaada wa teknolojia ya Video (VAR) kuthibitisha adhabu hiyoPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment