• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 31, 2018

  JESUS AFUNGA BAO TAMU MAN CITY YASHINDA 3-1 GOODISON PARK

  Mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 12 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Everton Uwanja wa Goodison Park, Liverpool. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Leroy Sane dakika ya nne na Raheem Sterling dakika ya 37, wakati la Everton limefungwa na Yannick Bolasie dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JESUS AFUNGA BAO TAMU MAN CITY YASHINDA 3-1 GOODISON PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top