Mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus akikaribia kulia kwa furaha wakati anapongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Brazil bao pekee dakika ya 37 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Olympia mjini Berlin katika mchezo wa kirafiki PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment