Sergio Ramos (kushoto) akimpongeza mchezaji mwenzake wa Real Madrid, Isco baada ya kuifungia Hispania mabao matatu dakika za 27, 52 na 74 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Argentina kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Diego Costa dakika ya 12, Thiago Alcantara dakika ya 55 na Iago Aspas dakika ya 73, wakati la Argentina iliyomkosa nyoa wake, Lionel Messi wa Barcelona anayesumbuliwa na maumivu ya nyama za paja lilifungwa na Nicolas Otamendi dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
☕ Morning Recap: A look at Futaa's top stories from yesterday
-
With Europe's top leagues currently on a break, little is happening in the
football world, save for the usual transfer news. We take a look at some
of the...
Dakika 28 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni