Winga wa timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Said Mussa 'Ronaldo' akitafuta mbinu za kuwatoroka wachezaji wa Morocco katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Ngorongoro ilishinda 1-0
Mshambuliaji wa Tanzania, Muhsin Makame akimgeuza Nahodha wa Morocco, Bah Said Nolad (kushoto)
Kelvin Naftali wa Tanzania (kulia) akimpita Limourt Youssef wa Morocco
Kipa wa Morocco, Laafsa Zyad akiwa juu kudaja mpira dhidi ya Abdul Suleiman wa Tanzania
Ally Msengi wa Tanzania akiondoka na mpira dhidi ya Bousbaa Idriss wa Morocco, huku Elovauabi Hatin (kulia) akiwa tayari kusaidia
Nickson Kibabage wa Tanzania akimpita Lanine Yassine wa Morocco
Dickson Job wa Tanzania (kulia) akigombea mpira na Bousbaa Idriss wa Morocco
Benchi la Ufundi la Tanzania kutoka kulia Meneja Leopold Tasso, Kocha wa makipa Saleh Machuppa, Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha Mkuu Ammy Ninje
Kikosi cha Serengeti Boys kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
Kikosi cha Morocco kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
Jets, Raiders' Depth Chart, Salary Cap, NFL Draft Picks After Davante Adams
Trade
-
Amid a three-game losing streak, the New York Jets are acquiring one of the
best wide receivers in the NFL in hopes of turning things around. Per NFL…
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment