Mshambuliaji wa Tanzania na Nahodha, Mbwana Samatta (kulia) akiwatoka wachezaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Taifa Stars ilishinda 2-0 dhidi ya Chuo wa Kongo
Winga wa Tanzania, Simon Msuva (kushoto) aiondoka na mpira dhidi ya Yannick Bangala wa DRC (kulia)
Mshambuliaji wa DRC, Assombalanga Britt akijaribu kujinasua kwenye himaya ya beki wa Tanzania, Kelvin Yondan
Kiungo wa Tanzania, Mohammed Issa 'Banka' (kulia) akimpiga tobo mchezaji wa DRC, Glody Ngoda
Beki wa Tanzania, Shomary Kapombe akipiga hesabu za kuuchukua mpira baada ya Aaron Tshibola wa DRC kuanguka. Kulia ni Yanick Bolasie wa DRC
Beki wa Tanzania, Gardiel Michael akimtoka Mubele Ndombe wa DRC
Mubele Ndombe wa Kongo akimuacha chini kiungo wa Tanzania, Himid Mao
Winga wa Tanzania, Shiza Kichuya akimiliki mpira mbele ya Needkens Kebano wa DRC
Kikosi cha DRC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Tanzania kabla ya mchezo wa jana uwanja wa Taifa
Detroit Pistons coach introduces bizarre new rule after team's historic
losing streak last season
-
Newly-hired Pistons coach J.B. Bickerstaff has implemented an unusual rule
as he looks to get the struggling franchise on a winning path.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment