• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 24, 2018

  MESSI JUKWAANI LAKINI ARGENTINA YAICHAPA 2-0 ITALIA MANCHESTER

  Angel Di Maria wa Argentina (kulia) akijaribu kumtoka mchezaji wa Italim anayecheza naye klabu moja, PSG ya Udaransa, Marco Verratti katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Etihad mjini Manchester. Argentina iliyomkosa Nahodha wake, Lionel Messi aliyekuwa jukwaani ilishinda 2-0, mabao ya Ever Banega dakika ya 75 na Manuel Lanzini dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI JUKWAANI LAKINI ARGENTINA YAICHAPA 2-0 ITALIA MANCHESTER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top