Naby Keita (kulia) akiifungia bao la kwanza RB Leipzig dakika ya 37 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Bayern Munich usiku wa jana Uwanja wa Red Bull Arena mjini Leipzig kwenye mchezo wa Bundesliga, huo ukiwa ushindi wao wa kwanza kihistoria dhidi ya vigogo hao wa Ujerumani. Sandro Wagner alianza kuwafungia Bayern Munich dakika ya 12 na bao la ushindi la Leipzig lilifungwa na Timo Werner aliyetokea benchi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment