• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 25, 2018

  DILLIAN WHYTE AMTWANGA BROWNE KO RAUNDI YA SITA 02 ARENA

  Bondia Mmarekani Dillian Whyte akimtazama mpinzani wake, Muaustralia Lucas Browne baada ya kumuangusha chini kama gunia raundi ya sita kwenye pambano la ngumi za kulipwa usiku wa jana ukumbi wa O2 Arena, London na kutetea taji lake la WBC uzito wa juu kqwa ushindi wa Knockout (KO) PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DILLIAN WHYTE AMTWANGA BROWNE KO RAUNDI YA SITA 02 ARENA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top