Edinson Cavani akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Uruguay dakika ya 49 katika mechi yake ya 100 akiisaidia timu yake hiyo ya taifa kushinda 1-0 dhidi ya Wales usiku wa jana Uwanja wa Guangxi Sports Center mjini Nanning na kutwaa Kombe la China PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Floyd Mayweather, Anderson Silva Dubai Boxing Exhibition Card Rescheduled for May 21
-
Floyd *This article will be updated soon to provide more information and
analysis. *
Dakika 20 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni