• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 30, 2018

  AALIYAH WA BEINTEHAA AWASILI DAR KUUPAMBA USIKU WA SZIFF

  Msanii wa kike, Preetika Rao maarufu kama 'Aaliyah' baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni ya leo kwa ajili ya kupamba usiku wa tuzo za filamu Tanzania, ujulikanao kama SZIFF Jumapili ukumbi wa Mlimani City Jijini.
  Aaliyah aliyejipatia umaarufu kupitia tamthiliya ya Beintehaa ambayo imekuwa ikirushwa na Televisheni ya Azam katika lugha ya Kiswahili baada ya kutafsiriwa akivaa kofia yake kwa madaha  
  Maofisa wa kike wa Azam TV wakimpokea msanii huyo leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AALIYAH WA BEINTEHAA AWASILI DAR KUUPAMBA USIKU WA SZIFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top