Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann (kushoto) akigombea mpira na beki wa Colombia, Frank Fabra katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Colombia ilishinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Luis Muriel dakika ya 28, Radamel Falcao dakika ya 62 na Juan Quintero dakika ya 85 kwa penalti, ya Ufaransa iliyomuanzishia benchi kiungo wake Paul Pogba, yakifungwa na Olivier Giroud na Thomas Lemar PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment