HAWA NDIO MABINGWA WA SOKA MKOANI RUKWA KUTOKA SUMBAWANGA
Kikosi cha timu ya Laela FC ya Sumbawanga, kilichofanikiwa kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Rukwa Machi 12, mwaka huu baada ya kumaliza Ligi ya Mkoa na pointi 15, moja zaidi ya timu iliyoshika nafasi ya pili na sasa itashiriki Ligi ya Mabingwa wa Mikoa itakayoanza mapema Aprili mwaka huu
0 comments:
Post a Comment