TAIFA STARS ILIPOWASILI ALGIERS LEO KUIVAA ALGERIA KESHOKUTWA
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Omar Yussuf Mzee baada ya kuwapokea wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ilipowasili mjini Algiers leo kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa Alhamisi dhidi ya wenyeji, The Greens
0 comments:
Post a Comment