Mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion jana Uwanja wa Old Trafford, bao la pili likifungwa na Nemanja Matic dakika ya 83 na sasa Mashetani hao Wekundu wanakwenda Nusu Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment