• HABARI MPYA

        Friday, March 30, 2018

        JOSHUA ALIVYOMTAZAMA KWA HAMU PARKER WAKIPIMA UZITO LEO

        Bondia Muingereza bingwa wa  WBA na IBF, Anthony Joshua (kushoto) akitazamana na mpinzani wake, Joseph Parker wa New Zealand bingwa wa WBO baada ya kupima uzito leo ukumbi wa Motorpoint Arena kuelekea pambano lao la kesho Uwanaj wa Principality mjini Cardiff kuunganisha mataji ya uzito wa juu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: JOSHUA ALIVYOMTAZAMA KWA HAMU PARKER WAKIPIMA UZITO LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry