• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 27, 2018

  SHANGWE ZA MABAO TAIFA STARS IKIUA CHUI WA KONGO LEO

  Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta (katikati) akifurahi na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Taifa Stars bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
  Mbwana Samatta anayecheza KRC Genk ya Ubelgiji kiwa na Simon Msuva wa Difaa Hassan El Jadidi ya Morocco 
  Mbwana Samatta akikimbia baada ya kutikisa nyavu za The Leopard (Chui) wa Kongo
  Wanaomfuata nyuma ni Ibrahim Ajib (kulia) wa Yanga ya Dar es Salaam na Simon Msuva 
  Mfungaji wa bao la pili la Taifa Stars, Shiza Kichuya akishangilia baada ya kufunga
  Kiungo wa Simba ya Tanzania, Shiza Kichuya akitembea kwa madaha baada ya kufunga
  Mgongoni kwa Mbwana Samatta ni Shiza Kichuya baada ya kufunga bao la pili
  Mashabiki wakishangilia ushindi wa Taifa Stars leo
  Mashabiki wa Tanzania walikuwa wenye furaha leo baada ya mabao hayo ya kipindi cha pili 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHANGWE ZA MABAO TAIFA STARS IKIUA CHUI WA KONGO LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top