Kiungo wa timu ya taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes, Said 'Ronaldo' Mussa akimuacha chini beki wa Msumbiji katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ngorongoro ilishinda 2-1.
Beki wa Msumbiji, Joachim Cumbe akiupitia mpira mbele ya kiungo wa Ngorongoro Heroes, Said 'Ronaldo' Mussa
Kibwana Shomari wa Ngorongoro Heroes akimtoka mchezaji wa Msumbiji
Abdul Suleiman wa Ngorongoro Heroes akimpiga tobo beki wa Msumbiji kabla ya kuifungia Tanzania bao la kwanza
Nickson Kibabage wa Tanzania akimtoka Luis Sitoe wa Msumbiji
Assad Ali Juma wa Tanzania akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Msumbiji
Kevin Nashon wa Tanzania akijaribu kuondoka na mpira baada ya Leonel Victor wa Msumbiji kuanguka
Wachezaji wa Tanzania Assad Ali Juma (katikati kulia) na Said 'Ronaldo' Mussa (katikati kushoto) wakishirikiana kuwapita wachezaji wa Msumbiji
Kikosi cha Ngorongoro kilichoanza jana dhidi ya Msumbiji
Kikosi ch Msumbiji kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
NFL quarterback who went AWOL over contract talks makes a huge decision
amid ongoing standoff
-
After avoiding his return to the team due to a contract dispute, Arizona
Cardinals quarterback Jacoby Brissett will finally show up at his team's
mandatory...
6 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment