• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 23, 2018

  BOLT AJIFUA NA DORTMUND KUICHEZEA TIMU YA DUNIA

  Gwiji wa Riadha, Mjamaica Usain Bolt akifanya mazoezi na wachezaji wa klabu ya Borussia Dortmund ambayo inadhaminiwa na Puma kama yeye nchini Ujerumani jana. Bolt, ambaye ataiongoza timu ya dunia 'World XI' dhidi ya Robbie Williams wa England katika Soccer Aid mwezi Juni,  tayari ameanza mazoezi ya kujiandaa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BOLT AJIFUA NA DORTMUND KUICHEZEA TIMU YA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top